Home » Biashara » Hatimaye anga ya mkoa wa Ruvuma Yasikika sauti ya ndege aina ya bombardier

Hatimaye anga ya mkoa wa Ruvuma Yasikika sauti ya ndege aina ya bombardier

01 May 2017 | Biashara

Hatimaye anga ya mkoa wa Ruvuma Yasikika sauti ya ndege aina ya bombardier

Baada ya kipindi cha miaka 22 kupita tangu shirika la ndege Tanzania ATCL kusitisha safari zake mkoani . Leo hii shirika limeanza rasimi kutoa huduma za usafiri huo.