Home » Afrika

Afrika

24 February 2016
Katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ametembelea kambi za watu waliokimbia makazi yao mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo, DRC na kueleza hatua ambazo Umoja wa Mataifa utachukua kukabiliana na hali hiyo. Ban Ki Moon amesema kuwa matatizo yanayowakumba raia wa mashariki mwa DRC yanapaswa kutfutiwa ufumbuzi kwa kuzingatia haki za... [Read More]
24 February 2016
Rais wa Syria Bashar al-Assad amemhakikishia rais wa Urusi Vladimir Putin kuhusu utayari wake wa kuheshimu makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa na Marekani na Urusi . Rais wa Bashar al-Assad ametoa hakikisho hilo katika mazungumzo yake kwa njia ya simu na rais Vladimir Putin na kukubaliana kuwa makubaliano hayo ni mwongozo muhimu katika... [Read More]
24 February 2016
Rais wa zamani wa Burkina Faso Blaise Compaore amepewa uraia wa nchi ya Cote D'Ivoire baada ya maombi yake kukubaliwa na serikali ya nchi hiyo kufuatia kukimbia nchini mwake mwezi Oktoba 2014. Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari vya taifa, Blaise Compaore pamoja na mdogo wake aliyetajwa kwa jina la Francois wamepewa uraia wa taifa hilo... [Read More]
24 February 2016
Chama tawala nchini Uganda cha Rais Yoweri Kaguta Museveni, NRM kwa mara nyingine kimejizolea wingi wa viti Bungeni katika uchaguzi wa Rais na Wabunge uliofanyika juma lililopita nchini humo. Kwa mujibu wa matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutolewa na Tume ya Uchaguzi ya Uganda cha NRM kinatarajiwa kuchukua viti 427 vya ubunge wakati matokeo ya... [Read More]
20 February 2016
MATOKEO RASMI: Museveni 5,617,503 (60.75%), Bwanika 86,075 (0.93%), Mbabazi 132,574 (1.43%), Kyalya 40,598 (0.44%), Mabirizi 23,762 (0.26%), Besigye 3,270,290 (35.37%), Biraaro 24,675 (0.27%), Barya 51,086 (0.55%)   Final results: Museveni 5,617,503 (60.75%), Bwanika 86,075 (0.93%), Mbabazi 132,574 (1.43%), Kyalya 40,598 (0.44%), Mabirizi... [Read More]
19 February 2016
TCU YAFUTA VYUO VISHIRIKI VYA MTAKATIFU JOSEP
  Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania Prof Yunus Mgaya akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi huo.  MAELEZO Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imeamua kufuta kibali kilichoanzisha vyuo vikuu viwili vishiriki vya Mtakatifu Joseph ambavyo ni Chuo Kikuu kishiriki cha Sayansi ya... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika