Home » Afrika

Afrika

15 February 2016
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini jamuhuri ya afrika ya kati baada ya kukamilika kwa upigaji kura siku ya jumapili katika uchaguzi wa duru la pili ambao unatazamiwa huenda ukatamatisha uhasama na ghasia za kidini katika taifa hilo. Kura zilipigwa chini ya ulinzi mkali huku waangalizi wa umoja wa mataifa wakisambazwa nchi nzima na... [Read More]
12 February 2016
Wapiganaji wanaodaiwa kuwa ni kutoka makundi ya kiislamu wameshambulia kambi ya wanajeshi wa kulinda amani wa umoja wa mataifa kaskazini mwa nchi ya Mali kwenye mji wa Kidal, ambapo watu kadhaa wameripotiwa kufa na wengine kujeruhiwa, amesema msemaji wa kundi la vuguvugu la Azawadi. Tume ya MINUSMA nchini humo bado haijatoa taarifa rasmi kuhusu... [Read More]
12 February 2016
Nyaraka za siri zilzizopatikana, zimeonesha kuwa mkuu wa tume ya walinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, ameagiza kurejeshwa nchini Burundi, maofisa watatu wa jeshi la nchi hiyo kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu. Katika barua ya siri iliyoandikwa February 5 kwa kitengo cha operesheni za walinda amani cha... [Read More]
10 February 2016
Wanandoa Hassan Youssef na Nada Merhi wakipigwa picha mbele ya majengo yaliyoharibiwa na vita.
09 February 2016
Mkuu wa zamani wa jeshi la Kongo na mshauri wa rais ametangaza  mpango wa kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi wa Machi 20 kukabiliana na Rais wa sasa Denis Sassou Nguesso, ambaye amekuwa madarakani nchini Congo-Brazzaville kwa zaidi ya miaka 30. Jenerali  Jean-Marie Michel Mokoko ameiambia AFPkwa njia ya simu akiwa mjini Bangui kuwa anajisikia... [Read More]
09 February 2016
Huko nchini Kenya mcheza kamari raia wa Tanzania ameuawa na kundi la watu kwa kupigwa mawe,baada ya kuwaua watu wawili kufuatia kupoteza pesa zake katika mchezo huo na kushindwa kukubaliana na hali hiyo, polisi wamesema leo Jumanne. Mtanzania huyo  alipandwa na  hasira baada ya kupoteza dola 300 katika casino moja wilayani  Eastleigh mjini Nairobi... [Read More]
09 February 2016
Jocelyn Elliot, mwanamke raia wa Australia mwenye umri wa miaka themanini aliyetekwa nyara na wanajihadi nchini Burkina Faso akiwa na mume wake amesema  siku ya jumatatu kuwa ana matumaini ya kukutana na mume wake Ken hivi karibuni kuendeleza shughuli zao , lama ilivyokuwa hapo awali. Elliott ameyasema hayo punde baada ya kupokelewa na rais wa... [Read More]
08 February 2016
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR)  imeendelea kuongeza wanachama baada ya nchi ya Chad kuridhia itifaki iliyoanzisha Mahakama hiyo yenye makao yake makuu jijini Arusha. Hatua hiyo inafanya Chad kuwa nchi ya 30 kuridhia itifaki hiyo kati ya nchi 54 wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Hata hivyo, kati ya nchi hizo 30, ni nchi 7... [Read More]
05 February 2016
Jaji mmoja wa Mahakama ya Juu nchini Kenya Phillip Tunoi amepatikana na hatia ya kukiuka maadili ya kazi baada ya uchunguzi uliofanywa na kamati iliyoundwa na Tume ya Huduma za Mahakama. Jaji Tunoi amepatikana na hatia ya "kujihusisha kwa njia isiyofaa" na mtu ambaye alikuwa akimwakilisha mhusika katika kesi ya uchaguzi, jambo amablo ni ukiukaji... [Read More]
04 February 2016
Version:1.0 StartHTML:0000000167 EndHTML:0000002672 StartFragment:0000000457 EndFragment:0000002656 Mawakili wa upande wa mashtaka nchini Burundi wamekata rufaa dhidi ya hukumu ya viongozi wa jaribio la mapinduzi wakitaka viongozi hao kupatiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela ikiwa ni pamoja na wale saba walioachiwa huru.   Mawakili hao Pia... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika