Home » Afrika

Afrika

17 February 2016
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema Kenya itajenga jela mpya ya kuwazuia wafungwa wenye itikadi kali. Katika hotuba yake wakati wa hafla ya kufuzu kwa zaidi ya askari jela 2,000 hapo jana raisi Kenyata alisema hatua hiyo imelenga kuzuia wafungwa hao kutoeneza itikadi hizo kwa wafungwa wengine. Kwa sasa ni wafungwa waliohukumiwa kunyongwa pekee... [Read More]
17 February 2016
Raisi wa Marekani, Barack Obama ameapa kuhakikisha wanajihadi wa islamic state hawapigi kambi nchini Libya na kuongeza kuwa marekani itachukua hatua stahiki pale inapostahili. Raisi Obama amebainisha kuwa kwa ushirikiano na mataifa mengine yanayopambana dhidi ya wanajihadi wa IS marekani itahakikisha wanakosa fursa ya kujikita nchini Libya. Libya... [Read More]
17 February 2016
Katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, wa kwanza kutoka bara la Afrika, Boutros Boutros-Ghali aliyefariki dunia hapo jana alikuwa nani? Alizaliwa Novemba 14 mwaka 1922 mjini Cairo Misri akitoka katika familia tajiri yenye ushawishi mkubwa na ya Wakristo wa dhehebu la Coptic. Mwanafunzi mwenye kipaji, mwalimu, mwandishi wa habari, Waziri wa... [Read More]
17 February 2016
Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Rwanda, Victoire Ingabire anayetumikia kifungo cha miaka 15 jela, wamelalamika kupata ugumu wakati wanapotaka kuonana na mteja wao wakati huu wakiandaa kesi ya kupitiwa upya kwa hukumu yake katika mahakama ya Afrika.   Wakili wa Ingabire, Gatera Gashabana, amesema February 5 mwaka huu alienda kuonana na... [Read More]
17 February 2016
Umoja wa Mataifa unachunguza tuhuma mpya za vitendo vya udhalilishaji wa kingono vinavyofanywa na askari wake wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, tuhuma ambazo zitakuwa si za kwanza kuelekezwa kwa wanajeshi hao.   Msemaji wa umoja wa Mataifa, Farhan Haq, amesema kuwa tayari timu ya wachunguzi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya... [Read More]
17 February 2016
Vikosi vya Serikali ya Cameroon vimetekeleza mashambulizi kulenga kambi muhimu za wapiganaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria, huku ikiripotiwa kuuawa kwa wapiganaji wengi wa kundi hilo pamoja na kukamata zana za kivita zilizokuwa zinatumiwa na wapiganaji hao.   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi la Cameroon imesema kuwa operesheni... [Read More]
17 February 2016
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, FDC, amesema hana imani na uchaguzi utakaofanyika juma hili ikiwa utakuwa huru na haki na kulituhumu jeshi la polisi nchini humo kwa kuchochea vurugu kuelekea uchaguzi mkuu.   Kizza Besigye, kiongozi wa upinzani kwa muda mrefu aliyeshindwa kwenye chaguzi tatu zilizopita, amewaambia waandishi wa... [Read More]
15 February 2016
Uturuki imesema haitaruhusu mpaka wa syria wa mjini Azaz kuangukia mikononi mwa wapiganaji wa kikurdi wa nchini syria na kutoa onyo la makabiliano mara moja ikiwa watasonga mbele kukaribia eneo hilo. Waziri mkuu wa uturuki Ahmet Davutoglu amekaririwa akizungumza hayo katika kituo cha televisheni cha NTV. Uturuki imeshambulia ikiwalenga wapiganaji... [Read More]
15 February 2016
Kitengo cha intelijensia ya jeshi nhcini Drc kimemuachilia huru kiongozi wa chama cha siasa cha upinzani Martin Fayulu, baada ya kumkamata mapema Jumapili kwenye makao makuu ya chama chake mjini Kinshasa. Kiongozi wa chama cha ECIDE, akiwa pia mjumbe wa muungano wavyama vya upinzani na mgombea urais, Martin Fayulu aliwatolewa wito wafuasi wake... [Read More]
15 February 2016
Polisi nchini Uganda wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Mgombea urais wa chama cha upinzani cha FDC nchini Uganda Kizza Besigye ambaye alikamatwa na kuzuiliwa kwa muda na maafisa wa polisi mjini Kampala. Kwa mujibu wa AFP Besigye,ambaye kwa mara tatu mfululizo ameangushwa katika uchaguzi na raisi museven alikamatwa na... [Read More]

Pages

Ad
Subscribe to Afrika