Home » Afrika » Rais Yoweri Museveni aapishwa rasmi

Rais Yoweri Museveni aapishwa rasmi

12 May 2016 | Afrika

RAIS Yoweri Museveni leo ametawazwa rasmi kuwa Rais mpya wa Uganda kwa muhula wa tano mfululizo.Tayari Rais Museveni amekwisha tawala miaka 30.

Kutawazwa kwake leo, ambako kunashuhudiwa na viongozi wa mataifa 14 kutoka Afrika na wageni wengine mashuhuri, kuna fuata ushindi uliojaa ubishani katika uchaguzi wa Februari 18.

Ad