Home » Afrika » Rais Jacob Zuma Htashitakiwa

Rais Jacob Zuma Htashitakiwa

24 May 2016 | Afrika

Ofisi ya Mwendesha mashtaka nchini Afrika Kusini imekata rufaa hapo jana kupinga uamuzi wa mahakama kuu ulioagiza kurejeshwa kwa kesi za rushwa dhidi ya rais Jacob Zuma.

Mahakama nchini humo imedai kuondoa kwa kesi hizo kimakosa mwaka 2009 wiki chache tu kabla ya Jacob Zuma kuchaguliwa kuwa urais wa Afrika kusini.

 

Ad